HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 29, 2013

mafunzo ya vijana zaidi ya 1000 waliokuwa katika kikosi cha 842 Kj Mlale JKT yamalizika

Mkuu wa wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya vijana zaidi ya 1000 katika kikosi cha 842 Kj Mlale Jkt,kushoto ni mkuu wa gwaride ilo Capt Gerald William Rwenyagira.
Baadhi ya vijana wakisubiri kula kiapo kabla ya kufunga mafunzo yao.
Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Senyi Simon Ngaga akikagua kikosi cha Bendi.
Vijana wakipita kwa mwendo wa haraka.
Wakila kiapo.
Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Senyi Simon Ngaga kushoto akiangalia shehena ya mahindi ya chakula katika Ghala la kikosi cha 842 Kj mlale Jkt jana,kulia ni mkuu wa kikosi hicho Meja Thomas Mpuku.
PICHA NA MUHIDIN AMRI,SONGEA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad