HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 30, 2013

KITUO CHA WATOTO YATIMA NA VIKONGWE CHAZINDULIWA MAGO WILAYANI MAKETE

 kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Juma Ali Simai akizindua kituo cha Eden Valley Foster Care kilichopo kijiji cha Mago wilayani Makete wakati mwenge ulipokuwa katika mbio zake wilayani humo hapo jana.ujenzi wa kituo hicho umegharimu zaidi ya milioni 714.(Picha zote na Edwin Moshi, globu ya jamii Makete)
 
 Msimamizi wa kituo cha eden Valley Foster Care Jenet Fournier(kulia) akifurahia heshima aliyopewa na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Juma Ali Simai(hayupo pichani) ya kushika mwenge huo na kupiga picha ya kumbukumbu
 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Juma Ali Simai(wa pili kushoto) akiangalia darasa la kutoa elimu ya ufundi cherehani katika kituo hicho
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akizungumza kituoni hapo kabla ya kumkaribisha kiongozi wa mbio za mwenge kuzungumza na wananchi waliofurika kumsikiliza kituoni hapo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad