HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 24, 2013

Kikosi cha wachezaji wa Airtel Rising star Tanzania chawasili nchini kutoka Lagos, Nigeria

 Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius  Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria
 Timu ya wavulana ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere  usiku wa kuamkia leo
 Mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars Afrika kwa upande wa wasichana Timu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere 
 Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakielekea kwenye basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere  usiku wa kuamkia leo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad