HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 14, 2013

KAMPUNI YA KIMATAIFA YA KUSAFIRISHA MIZIGO "DHL" TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA KUJITOLEA DUNIANI KOTE YA DHL

Meneja wa Kampuni ya Kimataifa ya kusafirisha mizigo DHL Express Tanzania Bw.Jan Larsen(kulia)akimkabidhi Afisa Tatibibu Mkuu wa Hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam ,Dr Stanley Lwizu. moja ya vifaa vya kuifadhia taka.wakati wa siku ya kujitolea duniani kote ya(DHL)ambapo kila mwaka kampuni hiyo ifikapo Septembar 14,ujitolea kutoa misaada mbali mbali katika jamii .zoezi hilo lilienda sambamba na kuchangia Damu salam na kupanda miti ya mauwa pamoja na kufanya usafi sehemu ambazo sio salama,iliofanyika Septemba 14-2013.
Mwasibu Mkuu wa Kampuni ya kusafirisha mizigo DHL Tanzania,Bw Suresh Kumar(kushoto), akichangia Damu salama(kulia)fanyakazi wa kampuni hiyo.nao wakijumuika kuchangia Damu salama.
Wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha mizigo DHL Tanzania wakijuika kuchangia damu salama.
Wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha mizigo DHL Tanzania,wakiwa kwenye moja ya bustani wakipanda miti ya mauwa.
Wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha mizigo DHL  Tanzania,wakiwa kwenye moja ya bustani wakipanda miti ya mauwa.
Wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha mizigo DHL Tanzania,wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad