HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 19, 2013

HOSTEL MPYA YAFUNGULIWA HUKO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR

 Nshoma Hostel ni Hostel mpya Kabisa na ya kisasa iliyofunguliwa hivi karibuni huko Gongo la Mboto,Jijini Dar es Salaam katika barabara ya Kuelekea Moshi Bar.ni Hostel yenye uwezo mkubwa wa kuchukua wanafunzi wengi kwa wakati mmoja.Hostel hii ipo karibu kabisa na Chuo Kikuu cha Kiataifa cha Kampala kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.

Kwa wale wahitaji wa Hostel
Mawasiliano ni haya hapa chini
+255 717 140 095 au +255 769 074 201 
Pia wanaweza kuwasiliana na Mkurugenzi Mkuu wa Hostel hiyo kwa namba hizi
+255 754 595 901 au +255 784 495 901

Nyote mnakaribishwa.

 Sehemu ya Upande wa Hostel hiyo.
 Sehemu ya Mapokezi.
 Muonekano wa Baadhi ya Vyumba vya Hostel hiyo. 
 Sehemu nzuri ya Kujisomea.
 Jiko la Kisasa.
 Mandhali
 Maji ni yakutosha kabisa.
 Sehemu nzuri ya kuaniki nguo.
Eneo kubwa kabisa la Kuegesha Magari.

5 comments:

  1. hii Hostel ninoma sana na ya ukwel ile mbaya kwa wale wenzangu na mimi mnaopenda vitu vizur ndo wakati wenu . kila chumba kina choo na bafu nimependa sana .KAMPALA wakati wenu sasa.

    ReplyDelete
  2. yaukwel sana nimependa mno , vizur ivyoo fanyeni fasta

    ReplyDelete
  3. Bei yake jamani ,ulinzi je maana huko ni uswazi sana

    ReplyDelete
  4. Tunamshukuru mbunifu huyu wa maendeleo ktk jamii inawasaidia wanafunzi wasitangetange pia perfomance ya mwanafunzi inakuwa juu kutokana na utulivu wa hali ya juu ya hiyo hostel thanx alot u r the shoulder of Tz

    ReplyDelete
  5. MALIPO KWA MWEZI NI SHS NGAPI? MIMI NAITAKA SASA HIVI ILI NIJIPANGE.....MIMI HUPENDA VITU VIZURI

    ReplyDelete

Post Bottom Ad