Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog,imeweza kuzinasha taswira hizi mbili za wakazi wa vijiji vya jirani ndani ya Wilaya ya Manyoni,Mkoani Singida wakiwa wamekaa juu ya Reli inayopita Treni,wakipiga stori kana kwamba wako majumbani kwao.hapo ndipo nikaanza kujiuliza kwamba ni kweli watu hawa wamekosa sehemu ya za kukaa na kupiga hizo stori zao mpaka hapa kwenye Reli??
Sunday, September 15, 2013
Home
Unlabelled
Hii watu hawa ni kweli kwamba wamekosa sehemu ya kupigia stori mpaka waje kukaa kwenye Reli??
Hii watu hawa ni kweli kwamba wamekosa sehemu ya kupigia stori mpaka waje kukaa kwenye Reli??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment