Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba , Bw. Mohammad Y. Mshamba (aliyesimama ) akifutilia majadiliano ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.
Mbunge wa Kwimba, Mhe. Richard Ndassa akisalimiana na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. John Nkolo kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kwimba hivi karibuni. Katikati ni Mjumbe mwingine wa Tume, Bw. Mohammed Mshamba.
Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Walemavu wa Zanzibar, Bi Jide Khamis Saleh,
akiwa pamoja na mkalimani wake Bw. Kheri Mohammed Simai, akitoa maoni
yake katika Rasimu ya Katiba Mpya mjini Zanzibar hivi karibuni.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Humphrey Polepole akiongea na
wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Masasi katika mkutano
uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.
Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tandahimba Bw. Bakari Saidi Chibuyu
akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani
humo hivi karibuni.
Wajumbe
wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiwa
mkutanoni kuijadili Rasimu ya Katiba hivi karibuni wilayani humo.
Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tunduru Bw. Fadhil Hassan Msham akitoa
maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani humo
hivi karibuni.





No comments:
Post a Comment