Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Barclays Tanzania kitengo cha wateja binafsi Bw. Musa Kitoi akitoa maelekezo kwa washindi wa droo ya tatu ya maisha bomba na Barclays Golden Briefcase katika halfa ya kuwakabidhi zawadi washindi hao iliyofanyika katika tawi la Kinondoni leo jiji Dar es salaam .
Eliuteri
Mangi akichagua jina la mshindi wa bahati nasibu ya maisha bomba na
Barclays iliyofanyika katika Benki hiyo tawi la Kinondoni leo jijini Dar
es Salaam.
Dkt.Kunda John akichagua mojawapo ya Golden Briefricase katika droo ya tatu ya Maisha bomba na Barclays ambapo aliibuka na ushindi wa Vocha yenye thamani ya sh 200,000 kwa ajili ya kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika duka la Game.
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Barclays kitengo cha wateja binafsi Bw.Musa Kitoi wa kwanza kulia akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa droo ya tatu ya maisha bomba na Barclays Martha Hewison wa kwanza kushoto aliyeshinda mashine ya kufulia nguo ,Nabil Khan aliyeshinda Ipad3 ,Darvish Bhatt na Kunda John waliojishindia vocha ya manunuzi katika duka la Game,leo jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment