Baadhi ya wanafunzi wa Vyo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma.
Baadhi ya wanafunzi wa Vyo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma. Kulia ni Mkurugenzi wa Universities AbroadLink LMT hapa nchini, Jony Kabetha.

Tatizo la huyu jamaa(Tony Kabetha) maneno mengi,alichukua pesa yangu hadi sasa hakuna kinachoendelea,aache magumashi,be straight if you are duing those issues,if you are dealing with diploma only tell the truth,i have been wasting my time comming at your office then u are always bizy whie you have already take my money.This is not fair at all.
ReplyDeleteUniversities Abroad Link LMT,ni chuo au campuni tu ya kitapeli hapa Tanzania?Change your tittle
ReplyDeleteJamanilini wabongo tutasifiana?? kama ni kampuni au Chuo kinacho sumbua ninini? watu si hao waenda kusoma??
ReplyDeleteMmmh mtukumbunke mkirudi Bongo msiishie huko Huyu jamaa Tony aliishi huko majuu akaona mcheza kwao hutuzwa ndo tumatunda hutu.
ReplyDeletejamani someni mwelewe hii ni "LINK" ya Vyuo vya Nje siyo chuo angalieni webusite yake
A very awesome blog post. We are really grateful for your blog post. You will find a lot of approaches after visiting your post. revolucion mexicana
ReplyDelete