HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 17, 2013

Wafanyakazi TBL wapokea udhamini wa Barcelona kwa shangwe

Mkurgenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche akiwahutubia wafanyakazi wa kampuni hiyo, makao makuu, Ilala, Dar es Salaam leo wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja Masoko wa SABMiller Africa, kampuni mama ya TBL, David Minja (kushoto) akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu (kulia) wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifurahia wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Wafanyakazi wa TBL wakitoka makao makuu ya kampuni hiyo, Ilala, Dar es Salaam wakati wa maandamano ya kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Wasanii wa kundi cha Bombeso, wakicheza soka wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Msanii Azara Charles akimiliki mpira kwa ustadi wa hali ya juu wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad