HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 17, 2013

WADAU WAKIPITIA MAGAZETI KATIKA MOJA TA KIJIWE JIJINI MWANZA LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,Mapema leo asubuhi ilibahatika kupata taswira hizi za Wadau mbali mbali wakiwa wamezunguka kwa wingi kwenye Moja ya kibanda kinachouza Magazeti maeneo ya Pasiansi,Jijini Mwanza,wakipitia vichwa vya habari vya magazeti hayo ikiwa ni katika kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea ndani ya nchi yetu.
 Watu wako makini kinoma noma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad