Libeneke hili.....!!! Yaani linanifanya nikatize hata kwenye Gereji Bubu huku nanihii na kwa bahati ile nakatiza tu, si ndio Kamera yetu ikalinasa vazi la bonge la fundi huyi wa magari.hebu angalia mwenyewe maana mie nsije ongea uongo buree..
No comments:
Post a Comment