kijijini bwana ubunifu haukosekani, hapa ni kijiji cha Unenemwa makete, maji ya bomba hakuna lakini maji ya mfereji usiseme na ndiyo maana wajamaa hawa wanajipatia maji hapa kilainiiiiiii .(Picha zote na Edwin Moshi, Makete).
No comments:
Post a Comment