Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza kilichopo Ilemela jijini Mwanza wakikatiza katika mitaa ya jiji la Mwanza wakati wa maandamano ya kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania mwishoni mwa wiki.Castle Lager inafanya sherehe za wafanyakazi kwenye viwanda vyote vya TBL nchini ili wafanyakazi waupokee udhamini huo na kuwa mabalozi wa FC Barcelona na bia hiyo katika shughuli zitakazoambatana na udhamini huo.
Wafanyakazi wa TBL Mwanza wakisakata rumba wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi hao kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. Castle Lager inafanya sherehe za wafanyakazi kwenye viwanda vyote vya TBL nchini ili wafanyakazi waupokee udhamini huo na kuwa mabalozi wa FC Barcelona na bia hiyo katika shughuli zitakazoambatana na udhamini huo.
Meneja Operesheni wa TBL Mwanza, Flora Manyenye akigonga cheers na wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Ilemela jijini Mwanza wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. Castle Lager inafanya sherehe za wafanyakazi kwenye viwanda vyote vya TBL nchini ili wafanyakazi waupokee udhamini huo na kuwa mabalozi wa FC Barcelona na bia hiyo katika shughuli zitakazoambatana na udhamini huo.
Wafanyakazi wa TBL Mwanza, Matuta Masatu (kushoto) na Mary Mpalu (kulia) wakicheza soka la mezani maarufu kama fussball wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kiwanda hicho kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. Castle Lager inafanya sherehe za wafanyakazi kwenye viwanda vyote vya TBL nchini ili wafanyakazi waupokee udhamini huo na kuwa mabalozi wa FC Barcelona na bia hiyo katika shughuli zitakazoambatana na udhamini huo.
Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Ziwa, Andrew Mbwambo akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kiwanda hicho kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager kwa klabu ya Barcelona ya Hispania. Castle Lager inafanya sherehe za wafanyakazi kwenye viwanda vyote vya TBL nchini ili wafanyakazi waupokee udhamini huo na kuwa mabalozi wa FC Barcelona na bia hiyo katika shughuli zitakazoambatana na udhamini huo.




No comments:
Post a Comment