HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 20, 2013

Nyumbani ni Nyumbani ya Grand Malt, Vita Malt yazinduliwa Dar

Meneja wa vinywaji vya GrandMalt na Vita malt toka kampuni ya bia nchini TBL Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya uzinduzi wa kampeni kubwa ya vinywaji hivyo kuwatembelea watumiaji majumbani mwao na kutoa elimu juu ya umuhimu wa kutumia vinywaji vilivyo bora , Kampeni hiyo itajulikana kwa jina la Nyumbani ni Nyumbani na itajumuisha mikoa kumi ya Tanzania Bara, Kulia Meneja mahusiano wa TBL Doris Malulu.
Meneja mahusiano wa Tbl Doris Malulu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya uzinduzi wa kampeni kubwa ya vinywaji hivyo kuwatembelea watumiaji majumbani mwao na kutoa elimu juu ya umuhimu wa kutumia vinywaji vilivyo bora , Kampeni hiyo itajulikana kwa jina la Nyumbani ni Nyumbani na itajumuisha mikoa kumi ya Tanzania Bara,Kulia ni meneja wa vinywaji hivyo Consolata Adam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad