HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 30, 2013

Mdau Fredy Anthony Alamba Nondoz ya MBA-Multimedia Marketing,chuo kukuu cha Multimedia nchini Malaysia

Mdau Fredy Anthony ambaye ni Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor Mara baada kupata shahada yake ya pili (Master of Business administration - Multimedia Marketing) katika Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia.
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad