HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 3, 2013

Makamu wa Rais,Dkt. Bilal awasini nchini Iran leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Agosti 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan  Al-Quds  
anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Ogast 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan  Al-Quds  anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mshauri Maalum wa Waziri wa Mambo ya nje wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN bw. Mohammad Valulleh kwenye chumba maalum cha mapumziko VIP katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Ogast 03-2013 alipowasili Nchini Irani kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhani Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baaada ya kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni. (Picha na OMR).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad