Kipitata shoto cha Makutano ya Barabara ya Capripoint na Stesheni Jijini Mwanza kikiwa bize kweli kweli leo hii.
Mwanza kuzuri jamaniiii.....
Taswirazz ya Ziwa Victoria asubuhi ya leo
Moja ya alama za Jiji la Mwanza ni Mawe haya yafahamikayo kama Bismark.
Kamera yetu leo imefanikiwa kuzinasa taswirazz mbali mbali ndani ya Jiji la Mwanza,ikiwemo hii ya Baiskeli kuovateki Pikipiki.
Tatizo la Madereva wa Daladala kusimama hovyo ni la kila mahali hapa nchini,na wao hawana noma wala nini.
Biashara zikiendelea.
No comments:
Post a Comment