Warembo watatakaoshiriki kuwania taji la Redd's Miss Tanzania 2013/14 wakiwasili kwenye hoteli ya Giraffe,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mchana huu,tayari kwa kuanza kwa kambi yao.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiwakaribisha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa
Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiwa pamoja na Meneja wa
Kinywaji cha Redd's Original ambao ndio wadhamini wakuu wa Shindano la
Redd's Miss Tanzania,Victoria Kimaro wakiwapokea Warembo wanaoshiriki
shindano hilo wakati wakiwasili kwenye Hoteli ya Giraffe,Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam leo tayari kwa kuanza rasmi Kambi yao.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akizungumza machache wakati wa kuwakaribisha Warembo hao wa Redd's Miss Tanzania 2013/14 walioanza kambi yao rasmi leo kwenye Hoteli ya Giraffe,jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original ambao ndio wadhamini wakuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Victoria Kimaro akizungumza machache wakati wa kuwakaribisha Warembo hao wa Redd's Miss Tanzania 2013/14 walioanza kambi yao rasmi leo kwenye Hoteli ya Giraffe,jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Warembo hao akizngumza namna walivyojipanga kwa mashindano.
Warembo wakiingia hotelini.
Mkuu wa Itifaki kwa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye akitoa maelekezi kwa Warembo hao.









No comments:
Post a Comment