Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,(kulia)wakiwa katika mazungumzo kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Uongozi wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell, akiwa katika ziara nchini Uholanzi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Nchini Uholanzi Bibi.Lilianne Ploumen,alipofika Ofisini kwake
Mjini The Hague jana akiwana ujumbe wake katika ziara ya siku tano
Nchini humo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na
Viongozi wa Serikali Nchini Uholanzi,chini ya Kiongozi wao Waziri wa
Biashara za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bibi.Lilianne Ploumen,(wa
pili kushoto) katika Ofisi yake katika Mji wa The Hague Nchini Uholanzi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Bibi.Lilianne Ploumen,nje ya Ofisi yake katika Mji wa The
Hague Nchini Uholanzi,akiwa katika ziara ya siku tano katika Mji huo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell
Peter Voser,alipofika katika Makamo Makuu ya Kampuni hiyo katika Mji wa
The Hague Nchini Uholanzi jana akiwa katika ziara ya siku tano na ujumbe
wake.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter
Voser,(katikati) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na Waziri wa
Ardhi,Maji Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,(kulia) na Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell na Serikali za Afrika
Mashariki Axel Knospe,(kushoto) mara baada ya kuwasili mkatika Mako
Makuu ya kampuni hiyo Mjini The Hague akiwa katika ziara ya Ushirikiano
katika kukuza Uchumi.
Kiongozi
anayeshuhulikia masuala ya Uvumbuzi wa mafuta katika nchi zilizo chini
ya Jangwa la Sahara,Alastair Milne,(kushoto) akijibu suala wakati wa
mazungumzo kati ya Kamapuni ya Mafuta ya Dutch Shell na Ujumbe wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika
ziara ya siku tano na ujumbe wake Nchini Uholanzi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati)akifafanua jambo wakati wa mazungumzo kati ya Kampuni ya
Mafuta ya Dutch Shell na Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar,katika ukumbi wa Makamo Makuu ya Kampuni hiyo Mjini The Hague
nchini Uholanzi,(kutoka kulia) Waziri wa Ardhi,Maji Makaazi na Nishati
Ramadhan Abdalla Shaaban, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch
Shell Peter Voser,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi Mahadhi
Juma Maalim,na John Crocker,ni miongozi mwa Viongozi wa Kampuni ya
Shell.Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.









No comments:
Post a Comment