Mchana wa leo katika katiza katiza zangu,niliibuka mitaa ya Tabata jijini Dar na kukutana na Mjamaa huyu akivuka fensi ya wenyewe,bila hata Idhini yao.sasa sijui alikuwa anakwenda wapi na kufanya nini??
No comments:
Post a Comment