Bongo bwana kuna vichekesho sasa huyu aliyepakiwa haitaji Helmet ? au ikitokea ajali yeye yuko powa?? Inahitajika huyu dereva wa pikipiki awe na ma helmet mawili moja lake moja liwe la abiria!! Ili kuwe na usalama zaid naomba serikali mliangalie hili!! Ni hatari sana hii!!!

ReplyDelete