HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 24, 2013

Taifa Stars yatia timu Uganda leo,kuwakabili The Cranes wikiendi hii

Kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda jioni ya leo,tayari kwa mtanange wa marudiano na timu ya Taifa ya nchi hiyo utakaopigwa mwishoni mwa wiki hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad