Ni watiifu sana na wafuatiliaji wazuri wa Sheria,kama ionekanavyo picha hii.
huku Songea kuna Magari Mengine bado Usajili wake ni TZ kama ilivyokuwa enzi zile,na hakuna noma wala nini.
Hapa ndipo lilipo Soko Kuu la Mji huu wa Songea.
Usafiri.
Nakata Mitaa ya Songea Mieeeee......
Hata Bonge wa Power BreakFast ya Clouds Fm nae yupo huku Songea.








Usikose kuja kwetu Ruhuwiko kaka..
ReplyDeleteKaribu sana.
Michuzi, kama ungeniletea picha za Songea Boys, basi ningefurahi sana!
ReplyDelete