HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 19, 2013

SAMSUNG YAJA NA MBINU MPYA YA KUEPUKA BIDHAA FEKI YA PROGRAMU YA E-WARRANT

  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kuchezesha droo ya kila mwezi kwa wateja walionunua bidhaa za kampuni hiyo iliyochezeshwa Dar es Salaam .Kutoka kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili kulia) akimpigia simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa kucheza droo kwa wateja wa kila mwezi wa bidhaa za kampuni hiyo,ambapo  mkazi wa Dar es Saalaam, Goodluck Mumvuri alijishindia.Kutoka kulia ni Kutoka kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (katikati)  na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas wakionyesha simu mpya za Galaxy Star ambazo ziligawiwa kwa wanahabari kwa njia ya kuchezesha droo ya bahati na sibu.Kushoto ni Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao.
  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto)  akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo,Theopister Nzanzugwanko mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto)  akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Majira,Charles Lucas mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad