Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Idara Habari Maelezo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mpango huo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga.
Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga (kushoto), akichangia jambo wakati wa kutoa maelezo kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa na katikati ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto.



No comments:
Post a Comment