Hapa sio kama wako kwenye msafara,bali ni kila mmoja na safari yake.
Kwani nani kasema Ndoo haiwezi kukaa mbele ya Dereva wa Boda Boda?
Wanajaza kiwese hapo,wakiingia barabarani jipangeeee.
Pozi kijiweni.
kwani watufiki??
Kama kawa kama dawa...
Kamshkaki ka kiaina.










No comments:
Post a Comment