Kama umepita Barabara ya Mandera Rodi hivi karibuni,basi ni lazima utakuwa umeziona mashine hizi a.k.a Kilimo Kwanza zikiwa zimeegeshwa pembeni ya kituo kimoja cha mafuta pale kona ya Tabata relini jijini Dar.sasa sijui kulikoni yako hapa na si kule mashambani?


No comments:
Post a Comment