HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 1, 2013

Hawa nao wamezidi jamani,kila siku wao tu...!!

 Sasa ona kama hapa anachokifanya huyu wa upande wa kulia hapa,kwanza kasimama barabarani huku akishusha abiria na wakati hapo kwa mbele tu kuna kituo kikubwa kabisa cha kusimama madaladala kama hayo hata kumi.ila kwa kuwa yeye ndio yeye,huu ndio uamuzi wake.
Pamoja na Kusimama kule akaona haitoshi,sasa amekuja na kuamua kuovateki gari lingine mlimani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad