HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 24, 2013

Watanzania Wafungiliwa mlango wa Biashara London

Urban Pulse Creative Media video fupi inayo-onyesha ziara fupi iliyofanywa na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda soko la mboga na matunda, New Spitalfields, mjini London mwezi Juni 2013.

Habari hizi zinazodhihirisha pia udugu kati ya Kenya na Tanzania zimetayarishwa kwa ushirikiano baina ya Urban Pulse, Freddy Macha na Ubalozi wa Tanzania, Uingereza.

Habari zimetayarishwa kwa ushirikiano baina ya Urban Pulse, Freddy Macha na Ubalozi Wa Tanzania Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad