Msanii na Mtangazaji maarufu Vanessa Mdee akiwa katika Tigo Celeb Twitter Live Chat kwenye ukurasa wa Tigo. Pembeni yake ni George Katoto - Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii (katikati) na Silvanus Makoko Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
Vanessa Mdee akipata maelekezo kutoka kwa Athanasius Muhanuzi - Meneja wa Mitandao ya Kijamii kutoka Squad Digital. Kutoka kushoto ni Amani Nkurlu Meneja Mawasiliano wa Tigo, George Katoto Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii na Silvanus Makoko Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
Vanessa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo.




No comments:
Post a Comment