HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2013

TTCL YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUFANYA USAFI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

wafanyakazi wakifanya usafi katika lango kuu la hospitali ya taifa muhimbili wakiongozwa na Kaimu afisa mtendaji mkuu bw. Jotham Lujara.
kamimu afisa mtendaji mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara (kulia) akikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Makwaiya Makani.
picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad