Meneja chapa ya Tigo Tanzania bw. William Mpinga akiongea na
waandishi wa habari kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang
litakalofanyika siku ya jumapili viwanja vya Kirumba mjini Mwanza,
kushoto msanii Diamond Platnumz na kulia msanii Madee ambao watatoa
shoo siku hiyo na wasanii wengine.
Msanii wa bongo flava Diamond Platnumz akizungumza na waandishi wa
habari(hawapo pichani) kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang
litalofanyika mjini Mwanza siku ya jumapili pembeni yake meneja chapa
ya TigoTanzania bw. William Mpinga.
Msanii Richie Mavoko akizungumza na waandishi wa habari(hawapo
pichani) kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang litalofanyika mjini
Mwanza siku ya jumapili kulia kwake ni Msanii Madee, meneja wa Tigo
Bw. William Mpinga na Diamond Platnumz.

No comments:
Post a Comment