HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 29, 2013

TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Bw. na Bi Ramadhan Mambosasa wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Keiza Mambosasa kilichiotokea tarehe 27 Alhamisi huko Mbezi Beach.

sala ya marehemu itafanyika katika msikiti wa mzimuni kawe saa saba alasiri.na baada ya hapo mazishi yatafanyika huko Mwanakilenga Bagamoyo.

Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi,Mungu akulaze mahali pema peponi…

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad