HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 4, 2013

Show ya Lady Jay Dee sasa kufanyika Juni 14 pale pale Nyumbani Lounge

MWEZI JUNE NI MWEZI AMBAO LADY JAYDEE AMEZALIWA BAADA YA SHOW KUAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR, NA SASA HII NDIO TAREHE MPYA RASMI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE. 

KATIKA KUSHEREHESHA SHUGHULI HIZO, VITU VITATU VIMEANGUKIA KATIKA TAREHE NA SIKU ZINAZOFUATANA. TAR 13 JUNE LADY JAYDEE ANARIPOTI MAHAKAMANI KWA MARA YA TATU, HUKU TAR 14 JUNE AKISHEREHEKEA MIAKA 13 KATIKA MUZIKI, NA TAR 15 JUNE ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA. 

 KWA WAPENZI WA LADY JAYDEE HIYO ITAKUWA NI LONG WEEK END TUNAWAKARIBISHA WOTE TUSHEREHEKEE WEEK END YA KIHISTORIA PAMOJA NA LADY JAYDEE 

VENUE: NYUMBANI LOUNGE 
ENTRANCE: 20,000/= 
TIME: 9PM 

TUNAFURAHA KUWATANGAZIA KUWA VIP TICKETS ARE SOLD OUT TUNAKARIBISHA NAFASI ZILIZOBAKI AMBAZO NI TICKETS ZA 20,000/= TU 
NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad