Fundi Mitambo ambaye anadaiwa kuwa ni raia wa Afrika kusini akiwa amekaa chini huku akiendelea na shughuli yake katika moja ya Chemba ya nyaya za mawasiliano ambapo alikuwa akiunganiasha nyaya hizo karibu kabisa na Kanisa la Azania Front
jijini Dar es salaam.
Fundi Mitambo akihojiwa na
Askari kanzu baada ya kukutwa amefunua Chemba hiyo ya nyaya za mawasiliano.
Askari Kanzu huyo alimuamuru kufunika Chemba hiyo haraka,na fundi mitambo huyo alifanya hivyo bila kupinga.
Baadae akapakiwa kwenye Difenda la Polisi na kwenda nae kituoni kwa mahojiano zaidi.
No comments:
Post a Comment