Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Mambo ya Hatari wa Benki ya Barclays,Daniel Mbotto akisisitiza jambo kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa workshop ya carrier fair iliyofanyika Chuoni hapo hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Utumishi wa Benki ya Barclays Tanzania,Eutropia Mwambeleko akielezea jambo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa Workshop ya Barclays Career Fair Chuoni hapo.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Barclays,Neema Singo akielezea jambo katika Barclays Career Fair UDBS, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


+pichani.+Katika+Barclays+Career+Fair+Chuo+Kikuu+cha+Dar+es+Salaam..jpg)



No comments:
Post a Comment