Redd’S Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi (katikati) akipunga mkono mara baada ya kutawazwa rasmi kuwa mshindi wa Taji hilo katika shindano lililofanyika hivi karibuni jijini Arusha. Nancy aliwashinda warembo wenzake 10 waliokuwa wakiwania nae taji hilo.wengine pichani ni mshindi wa pili Neema Kessy na wa tatu Glory Steven.
Warembo wa tano kati ya 11 waliokuwa wanawania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangwaza kufuzu hatua hiyo. Kutoka kushoto ni Minael Anderson, Neema Joel, Nancy Moshi, Neema Kessy na Glory Steven.
Warembo waliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakiwa katika picha ya pamoja.
Warembo waliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakicheza show ya ufunguzi wa shindano hilo jijini Arusha hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment