Kikwese kikiwa kimepangwa na kupangika katika kituo kikubwa cha kuuzia kiwese hicho,huko naninii.Bei ya kiwese katika sheli hii ni ile ile iliyopangwa na serikali,na hata kama ukitaka kuwekewa fulu tenki wala hakuna shaka,kwani stoku imejaa mpaka inacheua.
Wednesday, May 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment