Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Mauricia Mbena akiwaelekeza baadhi ya wageni waliotembelea banda la PPF namna ya kujaza fomu ya uanachama wa PPF katika maonesho ya biashara Tanga.
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Upendo Singinika akimkabidhi
mtoto wa mwanachama t-shirt ya Fao ya Elimu ya PPF kwenye maonesho ya
biashara Tanga.
No comments:
Post a Comment