HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 7, 2013

pita pita za Mtaa kwa Mtaa

mtu huyu ambaye ni omba omba akiwa amekaa katikati ya barabara ya Bagamoyo karibu kabisa na eneo la Victoria jijini Dar es Salaam, akiomba kwa watu wanaopita na magari katika barabara hiyo. Jambo hili si salama sana kwa mtu huyu kwani lolote linaweza tokea japo hatuombei itokee,hivyo ombi kwa wazee wa feva (wanausalama barabarani) kusaidia kumuondoa huyu mtu mahala hapa haraka iwezekanavyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad