Mchora vibonzo Nathan Mpangala aka Kijasti, (wa pili kulia) akishiriki mafunzo ya utengenezaji video fupifupi zihusuzo migogoro isiyo na mapigano iliyofanyika mwezi uliopita nchini Mexico. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha washiriki 80 kutoka nchi mbalimbali yalitolewa na School of Authentic Journalism ya nchini humo. Baada ya darasa huko Mexico, Kijasti alipata nafasi ya kutalii jijini New York.
Mitaa ya Madison
Ukumbi maarufu
Mitaani... kama Dar unaambiwa...
Neshno la Yankees
Mradi wa babu
Ndani ya basi la kitalii
No comments:
Post a Comment