HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 26, 2013

mbuzi hawa hawana mwenyewe???

katika pita pita zangu za kila siku ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog halilalegi,niliibuka mitaa ya Ununio na kukutana na lundo hili la Mbuzi wakiwa barabarani bila hata ya kuwa na mtu anaewachunga,na hapo ndipo nilipojiuliza kulikoni mbuzi hawa wamekuwa wakizagaa namna hii,inamaana hawana mwenyewe??

1 comment:

Post Bottom Ad