Je,Ushapiga kura yako kwa Mshiriki umpendae kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kili??Kama bado Piga sasa,ambapo utamuwezesha Mshiriki upendaye kupata Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.Unachotakiwa kukifanya ni Kutuma Code ya mshiriki huyo kwenda Namba 15345 au unaweza kupiga kura yako kwa kuingia kwenye Tovuti hii www.kilitimetz.co.tz pia unaweza tuma email kwenda ktma2013@innovexdc.com
Friday, May 31, 2013

Home
Unlabelled
Kilimanjaro Music Awards 2013 ni mwendo wa Kikwetu Kwetu kwa kwenda mbeleeee
Kilimanjaro Music Awards 2013 ni mwendo wa Kikwetu Kwetu kwa kwenda mbeleeee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment