Pikipiki ya Miguu mitatu iliyokuwa imesheheni mikungu ya ndizi ikiwa imepiga mweleka pembeni ya Barabara ya Kawawa,maeneo ya Ilala Boma jijini Dar.chanzo cha mueleka huo ni pale alipopita pembeni ya ya kidimbwi cha maji bila kujua kuwa kuna shimo katika kidimbwi hicho.
No comments:
Post a Comment