HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 25, 2013

DEREVA WA BODA BODA ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA LORI WAKATI AKIPITA KWENYE TAA NYEKUNDU

Lori aina ya Fuso lenye nambari za usajili T 669 CEK likiwa limeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza kwenye taa nyekundu mapema leo katika eneo la Majumba sita njia panda ya Segerea.Waendesha pikipiki wengi wamekuwa wakiuendeleza uzembe huu ambao umekuwa ukifumbiwa macho sana na Watu wa Usalama Barabarani.
Huyu ndie dereva wa pikipiki hiyo akiugulia maumivu kabla ya kupatiwa msaada wa kukimbizwa hospitali.Picha na Adam Mzee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad