Mabingwa wa mchezo wa Pool Mkoa wa Dar es Salaam,CBE wakishangilia na kitita cha sh.500,000 mara baada ya kuibuka washidi katika mashindaano hayo yajulikanyo kama Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Meeda Sinza jijini Dar es Salaam.
Bingwa Mtetezi wa mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mkoa wa Dar es Salaam na Taifa, Peter Patrick akiwa amebebwa na mashabiki mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam tena wakati wa mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Meeda Sinza jijini Dar es Salaam.
Nahodha
wa timu ya Chuo cha St.Augustine (SAUT),Jimy Nikas akionyesha kitita
cha sh.500,000 mara baada ya chuo hicho kutetea ubingwa wa mashindano ya
Safari Lager Pool Higher Learning Pool Competitio 2013 Mwanza
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park.
Bingwa wa
mashindano ya Pool yajulikayo kama Safari Lager Pool Higher Learning
Pool Competitio 2013 Mwanza, Vitalis Bakilane akiwa amebebwa na
mashabiki mara baada ya kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Dar es Saalaam tena
wakati wa mashindano hayo yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi
wa Villa Park jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment