Mdau akiwa kwenye harakati zakutafuta wateja wa ndizi kama alivyonaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa eneo la gerezani jijini Dar es salaam,vijana wengi wanajiajiri wenyewe ili kukabilina na ugumu wa maisha
No comments:
Post a Comment