Wavuvi wa Kisiwa cha Kiechuru kilichopo Rufiji mkoani Pwani, wakiandaa nyavu zao tayari kwenda mto Rufiji kwa ajili ya uvuvi. Wananchi wa kisiwa hicho wanategemea uvuvi kujipatia fedha.
No comments:
Post a Comment