HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 27, 2013

Wadau ndani ya Jiji la Mwanza

 Kama umefika jijini Mwanza na kujatia timu kwenye kiota cha Villa Park kilichopo Maeneo ya Kirumba basi bado hujafika Mwanza,maana katika kiota hiki kuna maakuli ya hatari ambayo hayapatikani sehemu yeyote ndani ya jiji hili.pembeni nipo na Mdau Mkuu wa Kiota hicho,Ramadhan Maganga.
Wadau tumekutana ndani ya Kiota cha Villa Park,toka kulia ni Jackson Mmbando,Mdau,Ramadhan Maganga,Mie pamoja na Peter Ngalashi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad